Please Donate for this campaign


English | தமிழ் | සිංහල | Français | español | हिंदी | বাঙালি | 中國 | русский | اردو | العربية | Deutsch | Kiswahili | Türk | Melayu


Rejea Sri Lanka katika Mahakma Uhaifu Kimataifa

Sisi, watu wa dunia tunauliza mataifa umoja (UN) ndio wa rejee nchi la Sri Lanka katika mahakma uhaifu kimataifa ama waanzishe mahakma ya kufanana ili wagundue uhalifu ulitendeka kwa watu waTamil ju ya nchi ya Sri Lanka.

Ripoti kutoka mataifa umoja kuhusu nchi la Sri Lanka, watu kama elfu sabaini wa kabila ya Tamil waliuuwawa katika miezi sita za kwanza wa mwaka 2009. Hilary Clinton alisema kwamba Sri Lanka ni nchi ya mfano kama Rwanda na hata Congo na pia Burma mahali ubakaji ulitumiwa katika vita.

Tunaamini ya kwamba haki haitapatikana kwa watu wa kabila ya Tamil. Nchi la Sri Lanka wanasema haki itapatikana kwa watu wa Tamil lakini si ukweli, bali wanataka kutoa kipaumbele ili hii kesi haitapelekwa mbele ya mahakumu uhaifu kimataifa.

Mambo yanaoendela huku Sri Lanka ni tishio kwa amani inayopatikana katicka UN Charter sura la saba kwa maana hakuna haki ya uhalifu and watu kuuwawa.

Please Sign


Signer's Information
Name:*  
Email:   
Country:*  

Verify Your Signature

Code:  
Enter the code shown above:*  
   
   


Contact: pmo@tgte.org

Click here to watch: "Sri Lanka's Killings Field" by UK Channel 4

Click here to read: Genocide Resoultion By Northern Provincial Coucil
 
 
 
Copyright © 2015 Transnational Government of Tamil Eelam. All rights reserved.